Mshati940
Member
- Apr 2, 2015
- 72
- 53
Leo bhana nilikua nafanya mawalisiano na mtu kwa kupitia laini yangu ya Airtel ili niweze kumtumia hela,
Hivyo nikawa nimemtumia sms anitumie namba yake ya simu ambayo naweza kumtumia fedha. Ghafla ukaja ujumbe muda huo huo kwamba iyo pesa utume kwenye namba hii na jina litakuja flani..... Na uzuri alisema jina linalofanana kabisa na jina la uyo mtu ninalolifahamu sema tu wakati nataka kutuma fedha nikampigia nikamuuliza mbona namba uliyonitumia ni ya voda wakati nilikuomba ya tigo, akaniambia mbona Mimi sina namba ya voda.... Hapo ndio nikasema dah kuna boya aliweza kujua mawasiliano yangu akatuma ile sms. Je inawezaje akawa mtu baki tu asiwe na uhusika kwa namna yoyote na watoa huduma za mitandao?????
Sent using Jamii Forums mobile app