Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
We unapenda niniHuyo ulimwengu ni nani?
Anamiliki nini labda?
Wanawake bwana akili zenu!
Mtoto wa kiume hasifiwi sura.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Meneja wa idris sultanihuyu Ulimwengu ni nani?..
Kwenye nini?We unapenda nini
Meneja wa idris SultanKwenye nini?
Naomba nijibu huyo ulimwengu ni nani hapa mjini?
Maana Sio Mara ya kwanza naona picha yake humu ndani!
G wangu sio mweusi hata kidogo ,hapa kuna story mbili tofauti,,usinipige tu ban [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]iiiii bana mbona yule G mweupe huyu mweusi
Chanzo uzi wako mmoja humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbioooo mie nshafua bana mapovu siyataki(chanzo kichwa cha uzi)
Unataka kufua maa??Watoaaa mapovu nawasubiri wajeeee
Sawa mama!Meneja wa idris Sultan
Ana muonekano wa kuvutia
Nope sio huyoo kabisa kwani ndo anaishi Us peke yake,watanzania waliopo jf na wanaoishi Marekani wapo wengii tu humu sema wengine hawasemiSawa mama!
Can't wait kumuona huyo G wako!
Ila asije akawa Nyani Ngabu manake kwenye ule Uzi ulisema ulipokea airport akitokea ughaibun!
Huenda akawa huyo mbeba box
Hahahaahhaha enzi wanakasikirika kwelii nilikirmrusha ulimwenguWatoaaa mapovu nawasubiri wajeeee