Nadhani sisi tunaohitaji huduma hizi kwa huku Sinza idadi yetu ni 'negligible', nimeongea sana na GO na wale ZUKU wanasema hawapo wala hawajui lini watakuwepo, ila wanasema wakiwepo watanifahamisha, mwaka wa nne huu sasa. Hata ukiangalia kasi ya internet ya Vodacom maeneo haya, nadhani tunatumia watu wengi sana kwenye antenna chache(BTS) kwahiyo ni slow siku zote tu.Habari za asubuhi.
Naomba kufahamishwa watoa huduma ya internet kwa fiber wanaofika cover maeneo ya Sinza
Dah noma sana.Nadhani sisi tunaohitaji huduma hizi kwa huku Sinza idadi yetu ni 'negligible', nimeongea sana na GO na wale ZUKU wanasema hawapo wala hawajui lini watakuwepo, ila wanasema wakiwepo watanifahamisha, mwaka wa nne huu sasa. Hata ukiangalia kasi ya internet ya Vodacom maeneo haya, nadhani tunatumia watu wengi sana kwenye antenna chache(BTS) kwahiyo ni slow siku zote tu.
TUHAMIE MASAKI