Wateuliwa tumepata funzo hakuna aliye juu ya Sheria

Wateuliwa tumepata funzo hakuna aliye juu ya Sheria

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,362
Reaction score
16,986
Funzo ni kwamba kumbe akili za kuambiwa tuchanganye na zetu. Tusome vizuri katiba na sheria mbalimbali za nchi wakati wa kutekeleza majukumu yetu ya uteuzi. Hakuna aliye juu ya sheria kama sheria ikifuatwa bila kupindwa.

Mwenzetu akinyolewa sisi tufiche viwembe na mikasi badala ya kutia maji nywele zetu.
 
Hicho ni chambo. Subiri bonge la samaki lije linaswe ndo utajua ccm ni kusema kitu gani
 
Back
Top Bottom