Mimi kinachonishangaza ni hiki, kwanini CHADEMA wanashangilia sana huu mgomo wa madaktari? kuna nini hapa jamani.
Nashindwa kuelewa ni kwa nini waunde tume wakati wangeweza kuifuatilia namba ya simu ya mwisho kuongea na Dr uli. Siungi mkono mgomo wa madaktari kwa namna yeyote ile, ila wasiwasi wangu Dr anaweza kuja kulipa kisasa pindi atakapo pona kama watumishi wa mungu wasipomuombea mapema kwani kwa jinsi walivyompiga hata kama ningekuwa mimi lazima ningelipa kisasi na hapo ndio wasiwasi wangu hili taifa linaelekea wapi! mungu ibariki Tanzania ila usiwabariki viongozi wake kwani ndio wanaiharibu nchi hii
Hili laweza kuwa kweli, wamejitahidi sana kuunganisha mgomo wa hawa madaktari na siasa,lakini imeshindikana. Ndio maana hata mimi napinga kabisa viongozi wa CDM kutaka kujihusisha na madaktari kwa faida za kisiasa, waacheni wagome kama professionals na sio kisiasa!
Useful post. Thank you buddy.Hili laweza kuwa kweli, wamejitahidi sana kuunganisha mgomo wa hawa madaktari na siasa,lakini imeshindikana. Ndio maana hata mimi napinga kabisa viongozi wa CDM kutaka kujihusisha na madaktari kwa faida za kisiasa, waacheni wagome kama professionals na sio kisiasa!
Useful post. Thank you buddy.
Mimi kinachonishangaza ni hiki, kwanini CHADEMA wanashangilia sana huu mgomo wa madaktari? kuna nini hapa jamani.
Wewe nawe unaongea uharo tu na matapishi.dunia mzima hii system ni Hiyohiyo lazima tumescent iundwe.nahisi Hauna uelewa wa kutosha,ndio Nyie mnagoma kufuata mkumbo huku roho haitaki.Nashindwa kuelewa ni kwa nini waunde tume wakati wangeweza kuifuatilia namba ya simu ya mwisho kuongea na Dr uli. Siungi mkono mgomo wa madaktari kwa namna yeyote ile, ila wasiwasi wangu Dr anaweza kuja kulipa kisasa pindi atakapo pona kama watumishi wa mungu wasipomuombea mapema kwani kwa jinsi walivyompiga hata kama ningekuwa mimi lazima ningelipa kisasi na hapo ndio wasiwasi wangu hili taifa linaelekea wapi! mungu ibariki Tanzania ila usiwabariki viongozi wake kwani ndio wanaiharibu nchi hii