Used Water tank stand ya chuma yenye urefu wa 6 metres inauzwa. Iko katika very good condition. Ina uwezo wa kuhimili tank la ujazo wa hadi Lita 10,000. Bei ni 1.3m. Kwa mwenye uhitaji awasiliane nami kupitia namba 0687320462.
Used Water tank stand ya chuma yenye urefu wa 6 metres inauzwa. Iko katika very good condition. Ina uwezo wa kuhimili tank la ujazo wa hadi Lita 10,000. Bei ni 3m. Kwa mwenye uhitaji awasiliane nami kupitia namba 0687320462.
Brother kwa iyo ela nikiongeza laki 2 nashusha ngoma ya zege za maana tu ya mkataba.hii michuma na maji ni vitu vi 2 tofauti kabisa.unaweza ukapata kesi ya mauwaji bure lita 10,000 likamshukia mtu
Brother kwa iyo ela nikiongeza laki 2 nashusha ngoma ya zege za maana tu ya mkataba.hii michuma na maji ni vitu vi 2 tofauti kabisa.unaweza ukapata kesi ya mauwaji bure lita 10,000 likamshukia mtu