upcoming billionare
Member
- Jun 16, 2016
- 68
- 39
Habarini wakuu....hvi hii course ya water quality and laboratory technology kutoka chuo cha maji ubungo ina uwanja mkubwa wa ajira kweli? Naomba mwenye uelewa anijuze nsije zama nkajikuta nasugua gaga kitaa...mana nimeenda pale chuoni wakanielekeza kwa matokeo yangu naweza soma hyo course....mwenye uelewa na hii course anijuze kabla sjamake final decision...Watanzania wote ni ndug