Water pump

Water pump

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,714
nauliza naweza kupata wapi water pump ambayo nitatumia kumwagilia bustani yangu,atleast iwe na head ya 12metre,diesel driven au petrol,naomba kujua pia bei yake
 
Mkuu Ingia msikitini au church uulize hilo swali, na bei utapewa!
 
nauliza naweza kupata wapi water pump ambayo nitatumia kumwagilia bustani yangu,atleast iwe na head ya 12metre,diesel driven au petrol,naomba kujua pia bei yake
Mkuu head ya 12metre??!!! Unahamisha bahari au
 
Mkuu head ya 12metre??!!! Unahamisha bahari au

Natoa maji kwenye mto ambao uko chini sana,difference ya elevation ni kama 8m so nikiweka na minor headlosses nikaona nikipata pump yenye head ya 12m itafaa
 
Duka moja nimepata hii: heads 8: inchi 2 bei 350,000/= na 300,000/= pia ya inch 3 bei 370,000/= na 400,000/= zote petrol. Subiri naendelea kukuulizia duka jingine

Updates: Na hiyo ya heads 12m nimepata ni 500,000/= kwa 800,000/=. utasema unataka ipi.
 
Back
Top Bottom