Water pump za solar

Water pump za solar

salafytz

Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
12
Reaction score
12
WATER PUMP ZA SOLAR
Ndugu mkulima, je wewe ni miongoni mwa wanaotumia zaidi ya elfu 50 kwa siku kununua mafuta ya kuendesha pump kwa sababu una shamba kubwa. Hapo ukipiga hesabu ndani ya miezi 3 ni zaidi ya million 4

Tambua kuwa pump za solar na pump za mafuta tofauti yake ni moja tu, hii inatumia mafuta na ile ni umeme wa jua .lakini mambo mengine ni sawa. Kama ilivyo pump ya mafuta ikiharibika unanuna spare na kutengeneza . Hivyo hivyo pump za solar ikitokea imeharibika basi spare zake zipo na mafundi wanatengeneza.

Ndugu mkulima unahitaji pump ya solar na solar pannel tu kufanya umwagiliaji.

Bei za pump ni kama ifuatavyo

1Hp
2inch
Bei 970,000

2Hp
3inch
Bei 1,350,000

3Hp
4inch
Bei 1,500,000

Utahitaji solar pannel sita ili kufanya umwagiliaji uwe mwepesi.
Panel 6 za solar ni 1,680,000

Tukitoa mfano mtu ambaye atachukua water pump ya inchi 3 na solar pannel 6 jumla atatumia 3,030,000

Hapo ndugu mkulima atatumia takribani milion 3 ndani ya mwaka bila pump kuleta changamoto yoyote kama matumizi yako ni mazuri
N.B UKIWA NA MATUMIZI MAZURI UTAKAA NA PUMP ZAIDI YA MWAKA BILA KUPELEKA KWA FUNDI.

Hapo ndugu mkulima utaokoa
1. Pesa
2. Muda wa kufata mafuta sheli
3. Na mazingira pia

KARIBUNI SANA
Tupo kariakoo
0788195653

Jiunge group la WhatsApp
 

Attachments

  • IMG-20250716-WA0028.jpg
    IMG-20250716-WA0028.jpg
    72.3 KB · Views: 23
Pump kwa wastani inadumu kwa miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom