Water pump inahitajika

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wadau mm natafuta water pump nzuri isiwe ya bei ya kulangua sina kitu ndio naanza wakuu kama kunamtu anaeuza ani Pm au weka namba hapa nikutafute
 
Pampu unayoihitaji ni ile ya kuzamisha kwenye kisima au ni ile ya nje ya kisima...nitafute kwa simu namba 0655541948
 
Nenda ilala boma kwa farida utapata doyin hp 1.5 kwa laki nne tu,epukana na vitu vya uchochoroni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom