Mbona unafungua uzi mara zaidi ya moja kuulizia kitu hicho hicho?
Nimekusoma kimoja, kuwa na uvumilivu na itakusaidia sana. Weka muda unaostahili kidogo kwako kusubiria majibu, au fatilia uzi mmoja uliofungua mwanzo. Sio madakika ukiona kimya unaanza hili au lile.