CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Wapi kwa hapa Tanzania naweza kupata materials + wataalamu wa kunitengenezea floor na ukuta wa bafu langu la mbao isipenyeze maji katika mbao?
View attachment 393628 View attachment 393627 Wadau, habari zenu?
Wapi kwa hapa Tanzania naweza kupata materials + wataalamu wa kunitengenezea floor na ukuta wa bafu langu la mbao isipenyeze maji katika mbao?
Kama hiyo inayoonekana bafuni (yenye light blue). Ipo kwenye floor pia.
Ni kama carpet lakini ni ngumu sana.
Nahitaji kama hii au inayofanana na hii kwa matumizi