Kwekitui
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 1,071
- 1,087
MmmJe mfano nikatumia maji ya kawaida inayasafisha na safe kwa afya?
MmmJe mfano nikatumia maji ya kawaida inayasafisha na safe kwa afya?
Ukipata kinachochemsha maji uniambie
- Inavuta Maji Kwa Urahisi Zaidi kwenye dumu
- Ni Ya Kuchaji Na Inakaa Na Chaji
- Ni Imara Na Bora Zaidi
Bei: Tshs. 35,000 (Tunadeliver Bure Dar es Salaam)
Call/ WhatsApp: +255-659-358-599 I +255-742-786-967
TUNATUMA MIKOA YOTE TANZANIA
Lipia Mzigo Wako Ukishakufikia
View attachment 1742391
Still umeshindwa kuelezea. Kilichopo kwenye perfume Ni liquid as kilichoko kwenye dumu.Tofautisha kati ya perfume na dispenser hii, unapohusisha suala la maji ni lazima iwepo mashine ya kuyavuta hayo maji, na ndio kazi ya hiyo button hapo juu.