Water Dispenser hutakiwi kukosa

Water Dispenser hutakiwi kukosa

Ina cable kama ya simu, unaichaji kwenye deki au kwenye deki, inavuta maji kwa kubonyeza juu ya hicho kifaa
Kwahiyo mwamba, hiyo button ya kubonyeza maji yatoke inatumia umeme? Bila umeme haibonyezeki?
 
Ukishaichaji unatumia muda wote kama ilivyo kwenye simu hizi, mpaka pale chaji itakapoisha.
 
Sijaelewa. INAHITAJI umeme (chaji) kwa ajili ya nini, kubonyezea maji yatoke ama kupoza maji? Chaji ikiisha inakuwaje, button haifanyi kazi ukiibonyeza?
 
Stupid device
Hahahaaa ndo dunia ya sasa binadamu tunazidi kuwa wavivu yaaani. Yaaani hata kumimina maji tunahitaji kiroboti, so technically hiki tukiite "Kidude cha kumiminia maji" manaake dispenser inapooza na kupasha moto pia

Ila ndo teknolojia huwezi kuikwepa, japokua mimi binafsi napenda bado mpaka leo vitu vinavyowezekana kufanyika manually nifanye manually
 
Hili swali nimemuuliza ameshindwa kujibu, haelewi hata swali linahusu nini.
Hata Perfume au Body Spray in ka "dispenser" kwa juu na ukiminya perfume inatoka, na haitumii umeme. Yeye anashindwa kusema huu umeme unaochajiwa ni kwa ajili ya nini.
 
Amesema hii yake haipoozi wala kuchemsha, maji yalivyo kwenye dumu yatatoka hivyohivyo kama yalivyo.
 
Sijaelewa. INAHITAJI umeme (chaji) kwa ajili ya nini, kubonyezea maji yatoke ama kupoza maji? Chaji ikiisha inakuwaje, button haifanyi kazi ukiibonyeza?
Ni kama vile simu, chaji ikishaisha hakuna kinachofanya kazi
 
Hili swali nimemuuliza ameshindwa kujibu, haelewi hata swali linahusu nini.
Hata Perfume au Body Spray in ka "dispenser" kwa juu na ukiminya perfume inatoka, na haitumii umeme. Yeye anashindwa kusema huu umeme unaochajiwa ni kwa ajili ya nini.
Tofautisha kati ya perfume na dispenser hii, unapohusisha suala la maji ni lazima iwepo mashine ya kuyavuta hayo maji, na ndio kazi ya hiyo button hapo juu.
 
Sijaelewa. INAHITAJI umeme (chaji) kwa ajili ya nini, kubonyezea maji yatoke ama kupoza maji? Chaji ikiisha inakuwaje, button haifanyi kazi ukiibonyeza?
Chaji ikiisha button haiwezi kufanya kazi, umeme chaji ni kwa ajili ya hicho kifaa kiweze kufanya kazi.
 
Je mfano nikatumia maji ya kawaida inayasafisha na safe kwa afya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom