Bodykit na facelift nyingi huwa zinaagizwa dubai na uk,inategemea na gari
Mf:unaweza upgrade range 2003 kwenda 2010,hivyo unaagiza bodykit inakuja yote complete(bumpers,taa,side bumper,)unaenda kwa fundi body/rangi wanakufungia,
Hata Tttr autoupgrade wanafanya samething.