Wadau habari za Majukumu, Ningpenda kufahamishwa vilipo viwanda vidogo ama watengenezaji wa vyakula vya mifugo hususani kuku kwa maeneo ya Songea. Nikipata na mawasiliano yao itakuwa vema. Natanguliza Shukrani