INAUZWA Watengenezaji na wauzaji wa mashine aina zote

jo nyaluke

Member
Apr 6, 2021
10
11
Tunatengeneza mashine za kusaga pamoja na kukuboa mahindi,pia mashine za chakula Cha kuku,mixer za udongo pamoja na mashine za kufyatulia matofali,nk,karbuni sana wateja wetu tunapatikana mabibo mwisho,wasililiana nasi kwa namba zifuatazo 0754043910, 0764753158

tutumachinesolutions-20210405-0043.jpg
IMG_20210405_174837_629.jpg
tutumachinesolutions-20210405-0055.jpg
 
Mku naomba kujua kama mnatengeneza zile za kusaga Viungo.
Pia naomba kujua ukubwa wakena na bei yake
Asante
 
Karibu sana boss, mashine ya kusaga viungo ipo size 35 tu , ikiwa imekamilika tunauza 1.5m, karibu sana tukuhudumie
 
Tunatengeneza mashine za kusaga pamoja na kukuboa mahindi,pia mashine za chakula Cha kuku,mixer za udongo pamoja na mashine za kufyatulia matofali,nk,karbuni sana wateja wetu tunapatikana mabibo mwisho,

Bei za mashine zetu za kusaga: Size 120 #@2200000
Size 100 #@2000000
Size75 #@1500000
Size 50 #@1000000 , wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754043910, 0764753158
tutumachinesolutions-20210221-0009.jpg
 
Hizo size 100,na nyingine zinamaana gani?yaani inasaga mfano chakula cha kuku kwa kg ngapi kwa saa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom