watendaji wa vijiji wanalipwa shilingi ngapi kwa mwezi?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
hawa wanafanya kazi ktk mazingira magumu sana na pia wanafanya kazi kubwa sana jee wanalipwa shilingi ngapi kwa mwezi kwa level yao ya cheti?
 
Wewe nenda kafanye kazi mshahara utakutana nao huko huko...ila sio zaidi ya laki 2 na nusu
 
Kumbuka hao ndio watoza ushuru wa vitabu vya Halmashauri wengine hata mshahara huwa wanasahau kuchukua
 
Back
Top Bottom