Watendaji wa Serikali kudaiwa kutumia madaraka vibaya: Serikali yatoa ufafanuzi

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
5c37fefe0610ed3cd8850388dd189ab1.jpg

54efb3d66c2ee5eb79cf622b4cb4df04.jpg
 
Eti uhakiki wa wafanyakazi hewa tayari ila serikali inahakiki vyeti vya wafanyakazi wake!!Hili ni ajabu kwani hivyo vyeti vimehakikiwa mara kadhaa.
 
Hii serikali inavyoropoka ropoka ndo inazidi kuharibu mambo, ona hiyo taarifa ya serikali, ina maana wawakilishi wa serikali (mawaziri) bungeni hawatoshi kujibu hayo mpaka itoke na taarifa toka Ikulu? Sasa wanazuia Bunge live ili iweje?
 
Uhakiki ni chaka la kukanyaga haki za watumishi wake, amini nawaambia miaka itakatika na uhakiki utaendelea, haki zenu zitaendelea kukanyagwa ktk jina la uhakiki. Kuweni wavumilivu kwani si haki zenu tu zinazo fujwa bali na za makundi mengine.
 
Ni kati ya serikali ya hivyo ambayo sijawahi kuiona ktk umri wangu wa muongo 4
 
Back
Top Bottom