Kwa takribani wiki nzima wakazi wa Nyegezi, Mwanza wamelazimika kuchota maji mitaroni baada ya huduma ya maji kukosekana kabisa bila taarifa yoyote kutolewa.
Cha kushangaza, ni baada ya malalamiko ya wananchi kuibuka ndipo Mwauwasa walitoa tangazo kupitia akaunti yao ya mitandao ya kijamii, wakidai kuwa kuna matengenezo yanayoendelea kwenye chanzo cha maji ambacho Mheshimiwa Rais alizindua miezi michache tu
Hali hii inaleta maswali makubwa:
Kwa sababu hiyo, watendaji wa Mwauwasa mnapaswa kujiuzulu mara moja.

- Je, mitambo mipya hii tayari imeharibika au ilikuwa chakavu tangu mwanzo?
- Kwa nini wananchi hawapewi taarifa mapema bali wanateseka kwa siku nyingi?