Watembea kwa miguu wapo wapi?

Watembea kwa miguu wapo wapi?

Hizo ni expressway. Usitarajie kuona njia za waenda kwa miguu.
 
Watembea kwa miguu wana njia zao au? sehem nyingine raha jamani duu!
Sign-that-says-Pedestrians-Bicycles-Motor-driven-Cycles-Prohibited-300x361.jpg

Dada, watembea kwa miguu na wapanda baiskeli hawatakiwi kwenye interstate highways (kama hiyo I-110) kwakuwa minimum speed huwa ni 40mph (64km/h). Hata wale wenye bodaboda zenye maximum speedisiyo zidi 40mph (kama scooter) hawaruhusiwi kwasababu wanawezaleta msongamano au hata ajali.
 
Sisi tutabaki na maendeleo yetu ya trafic jama kwani ni dalili ya maendeo.(kwa mujibu wa mkuu)
 
Hongera ndugu yangu naona hii picha umeichukua mitaa ya Los ANgeles...ukweli ndo huo ukionekana unakatiza kwa miguu mitaa hii ya barabara faini yake $300 na zaidi.... Hapo ndo utaona kuwa wenzetu hawataki mchezo...
 
Hizi ni highway....hukuti pedestrian sana. watembea miguu ni mijini tu.
 
Back
Top Bottom