Watekaji wanamjua Mungu?

Kigongoi kwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
568
Reaction score
674
Najiuliza mara nyingi kundi la hawa watu! Hivi ni kweli mmeamua kutumiwa kuteka kupoteza pumzi za wanadamu wenzao?

Kwenye mazingira hayo wewe upon kundi la Mungu au la shetani?
Unajisikiaje wazazi;watoto,mke/mume Wana haha kumtafuta ndugu Yao ambaye ww umemteka na kumficha?
 
Sio kumjua tu, kanisani na msikitini wanaenda na wanakaa viti vya mbele kabisa
 
Umewaza mbali sana ndgu yangu. Kuna Kipindi nafikia mkataa kwamba Labda Kuna Binadam ambao Mungu aliumba na Wapo ambao Shetani aliumba.

Maana inawzkana vip Uue/uteke kisa tu Pesa ambazo huja na kusepa?
 
Trust me or not hiyo kazi wengi vifo vyao vimekuwa hivyo wapo wengi waliouwa nao wakauliwa hivyo hivyo since hawajulikani ila wanatakiwa wajue ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga.
Maana ndio mfumo wa system we order you to kill ,then we kill you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…