Wateja wa Taifa Gas tuwe makini

Hii kampuni inamilikiwa na fisadi papa na dokozi lililokubuhu bw. Ristam Abdulrasul Aziz.... we endelea kujilengesha mdomoni mwa mamba!
 
Nitaanza kupima pia mkuu.

M binafsi natumia Taifa Gas simply kwa sababu ni ya mbongo, ila sasa kama mwenzetu anaamua kutufanyia uhuni tutaenda lake gas na kwingine sasa.
Rostam kaanza kuwafanyia uhuni leo nchi hii? Hivi watanzania mtaamka lini kutoka kwenye usingizi wa pono?
 
Itakua ni kweli kuna siku wife kamtuma mtu akachue gas ila akamwambia kwamba usinunue kwa " muha nunua kwa mangi sio majina halisi ya wahusika.

Nikamuliza kwann akasema hapo kwa muha inaisha haraka nikambishia na kumwambia una sababu zingine binafs kumbe kweli mambo haya yapo!!

Xmcha ajabu ni kwamba hawa wanauza huku mtaan hawana hiyo mizani unayosema
 
Hiyo ni kweli mm ni muuzaj WA ges nimekaa kwenye Hii industry miaka kama 6 sasa unachoongoea NI sahihi , na hilo tumewaambia mara nyingi lakini hawalifanyii Kazi kabisa,
Oryx na lake ni kampun Bora Sana zinazingatia ujazo

Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nipo tayar kutoa ushahidi ni muuza gesi WA muda mrefu hilo Jambo tumeongea Sana , , tena ushahidi ni simple Tu tunaenda kwa superdealer wao mmoja tunapima gesi , katika mitungi 10 , mitatu ndo itakuwa imejaa vizur

Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
 
Kinachotakiwa sasa, wewe uondoke na uende kwenye maduka hayo ya taifa gas ili uthibitishe kuwa kilichosemwa na mhusika siyo KWELI. Badala ya kupinga wazo bila USHAHIDI.
 
Watakuwa wanajua mchezo wote hao wanajikausha

Ila in the longrun kibiashara kwenye biashara yenye ushindani kampuni itakufa

Uongo kwenye huwa hauna maisha marefu sana
 
Ndio nchi yenu hiyo....imejaa janja janja tupu.
 
Hii ni kweli, mihan inaisha haraka kuliko oryx.
TBS na Watu wa taasisi ya vipimo na mizani waingie kazini haraka

Waende na mizani yao kila kona ya nchi kwa kuvamia maduka ghafla wapime
 
Rostam kaanza kuwafanyia uhuni leo nchi hii? Hivi watanzania mtaamka lini kutoka kwenye usingizi wa pono?
Kwa hio unashaurije 🤔
Kampuni gani hii nchi haifanyi uhuni ? Tunaenda nao hivo hivo ila hata wew

Am sure ulikoajiriwa/jiajiri unafanyia watu uhuni,

Nchi hii kila mtu muhuni sema tunaenda hivo hivo, hakuna malaika kabisa, tumpe nafasi Rostam, licha ya uhuni ila anasaidia, Voda ipo nchi nzima inapata mawasiliano kwa ajiili ya kazi yake kubwa, saizi tigo pia kwa ajiili yake, uhuni upo ila tunavumiliana na kukosoana tupatapo nafasi
 
Kinachotakiwa sasa, wewe uondoke na uende kwenye maduka hayo ya taifa gas ili uthibitishe kuwa kilichosemwa na mhusika siyo KWELI. Badala ya kupinga wazo bila USHAHIDI.
Mkuu sijapinga wazo, bali nimekataa packaging ya wazo kwa namna lilivyoletwa hapa jukwaani. Yaani wazo limetetwa likiwa na mapungufu ya ushahidi. Na ushahidi ni jambo muhimu Sana katika kutafuta suluhisho la changamoto inayojitokeza popote!

Binafsi naona ni jambo jema sana kuleta tuhuma hizi zikiwa na ushahidi timilifu ili tuhuma hii ifanyiwe kazi na wahusika au Mamlaka husika (Weight and Measures Authority).
 
Ni kweli Taifa gas Wana hii shida me mwenyew nilienda kuchange mtungi nikamwambia yule muuzaji apime, aise alikuwa na mitungi imebaki minne na yote haikutimia ujazo ulio andikwa pale juu ya mtungi, kila mtungi ulikuwa na kilo pungufu,,nikamuuliza muuzaji mbona hivi shida ni nn akaaza kujitetea kwamba yye mwenyew hajui ila nikawaida tu coz ni point chache tu zimepungua ikabidi nichukue hivohivo,,

Ila hii nchi janja janja hazijaaza Leo hasahasa Kwa wafanya biashara wakubwa serikali inawabana wafanyabiashara wadogo lakn Hawa vibopa hawaguswi so hili jambo litabakia kama kilio Cha samaki.
 
Sasa unalalamika nini we kima?
 
Whaaat? Kweli nchi hii tumefika kubaya. Ukisema kuna ufisadi sehemu fulani unaambiwa nenda mahakamani. Hili la mteja kulalamika nalo mpaka atumie process ndefu namna hii? Utaula wa chuya na huyu mwizi muuza gas. Jamani watu wenye nyodo kama hawa mnawaachia biashara yao mnahamia kwingine. ORYX NDIYO HABARI YA MJINI. KATAA UTAPELI WA TAIFA GAS.
 
Ili kuwasaidia wengine.
  • Mtungi mdogo unatakiwa uwe kg ngapi?
  • Mtungi wa kati unatakiwa uwe kg ngapi?
  • Mtungi mkubwa unatakiwa uwe na kg ngapi?
Kila mtungi una uzito tofauti, nadhani inategemea umetengenezwa lini. Mtungi mwingine unaweza kusoma kilo 20, mwingine 18. Muhimu ni kuhakikisha kuwa uzito wa mtungi una uzito ulioandikwa.

Vv
 
Pumbavu kabisa wewe. Usirudie tena kutoka fyongo kama hizi. Unahalalisha wizi?
 
Bwana kagoda au richard monduli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…