Wateja wa EFD machines za TRA-Sales executive....contact mi please-nipatieni ajira tafadhari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wateja wa EFD machines za TRA-Sales executive....contact mi please-nipatieni ajira tafadhari.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ibrahim K. Chiki, Oct 26, 2011.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kutokana na ugumu wa kupata ajira niliamua kutochagua kazi, nikapata kibarua kama sales executive wa Electronic fiscal devices ( EFD machines) za kodi za TRA. Nimefanya kazi hii kwa muda wa wiki mbili ivi, tatizo kubwa ninalokutana nalo ni uhaba wa wateja, na nadhani hii inasababishwa na uzoefu mdogo nilionao. so kwa wale woote ambao kampuni zao ziko registered na VAT na hawana EFD machine TO contact mi thru 0756517588, 0782517588, or 0652590519. thanx in advans.
   
Loading...