Wateja wa EFD machines za TRA-sales executive.....contact mi please.......Nipatieni ajira tafadhari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wateja wa EFD machines za TRA-sales executive.....contact mi please.......Nipatieni ajira tafadhari.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Ibrahim K. Chiki, Oct 26, 2011.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira niliamua kutochagua kazi, nikapata kibarua kama sales executive wa Electroni fiscal devices ( EFD machines ) za kodi za TRA. nimefanya kazi hii kwa muda wa wiki mbili ivi na tatizo kubwa ninalokutana nalo ni uhaba wa wateja na nadhani inasababishwa na uzoefu mdogo nilionao, nikaamua kubuni njia nyingine ya kutafuta wateja. so kwa wale woote ambao kampuni zao ziko registered chini ya VAT na hawana EFD machine to contact mi thru my no. 0756517588, 0782517588 Or 0652590519. thanx in advans.
   
 2. c

  chante Senior Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndugu,upo kampuni gani kati ya hao licenced dealerz 4rm tra? Pergamon,advatech,bmtl , etc?coz kuna vat regstered clients nawafahamu wanataka mashine ambazo ni reliable!wana complain kwamba hz za sasa hv znaharibika sana na providerz wao hawa take initiatives zozote ku zi service!then mnaweza kuwa mnakosa customerz,ila la kujiulza mme base wapi?kuna customerz wapo interior regîons! coz kuna sehemu hakuna network na izo mashne zna inbuilt moderm,unategemea nini?try to contact mitandao ya simu iweze kuboresha services lbd mashne ztawork effectively na kampuni yenu itapata wateja!
   
Loading...