Splendidfashion
Member
- Aug 27, 2018
- 14
- 13
Watches /saa zinauzwa Tsh 10000
Tupo dar ukitaka delivery IPO pia
Tucheki Watsup/sms/call 0754085844
Tupo dar ukitaka delivery IPO pia
Tucheki Watsup/sms/call 0754085844
Ninazo za kike tu mkuu soon za kiume zinakujaUnazo za kike tu mie natafuta zile za kiume za disco za chuma
Acha uongo million 4 saa? Even am not that desperateMbona Qnet wanauza kama hizo kwa milioni 4,,,, wewe unazitoa wapi!????
Sent using Jamii Forums mobile app
umeipenda?
Ni kwel Q net wajinga sanaAcha uongo million 4 saa? Even am not that desperate
NB:iyo ndo bei yangu ila kama unataka nikuuzie kwa million 4 please be my guest
jibu basi mama wote tulikuwa na swali hilo ametuwakilisha.umeipenda?
jibu basi mama wote tulikuwa na swali hilo ametuwakilisha.
Ya kwangu ndiojibu basi mama wote tulikuwa na swali hilo ametuwakilisha.
Hivi unaweza hata kuvunja biskuti kweli???Ya kwangu ndio
Nunua saa kwanzaHivi unaweza hata kuvunja biskuti kweli???
Naomba niwe mchepuko wako[emoji8][emoji8]
Unataka saa ngapi nikununulie mrembo wewe Splendidfashion ???Nunua saa kwanza
Hongera sana kama mikono ni hivo,ninyamaze.Ya kwangu ndio
PJC kajibu mkuuAkijibu unitag mkuu
Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
Kweli kabisa asante soso jHongera kwa kujikwamua kwa saa nzuri!
Kikuu wanasaidia saana Watanzania na sie wafanyabiashara tusio na mitaji mikubwa
Sent using Jamii Forums mobile app