Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,737
- 2,402
Hahahahaa, pole!Mbona Qnet wanauza kama hizo kwa milioni 4,,,, wewe unazitoa wapi!????
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa, pole!Mbona Qnet wanauza kama hizo kwa milioni 4,,,, wewe unazitoa wapi!????
Sent using Jamii Forums mobile app
tuongee PM dada nimeuelewa sana huo mkonoYa kwangu ndio
Rangi nyingi inategemea unapenda rangi ganiRangi ulizonazo ni hizo tu au unazo zaidi?
ha ha ha ha hii kiboko akinunua halafu akikosa huo umchepuko si atakusaka na kitendea kazi cha kikurya.Nunua saa kwanza