Hii ishu ndiyo inayofanya members wengi kutochangia mada mbali mbali humu, sababu ipo option ya ku search kama jambo lilishajadiliwa, mtu anarudia tena kulipost, sawa anataka kujua lkn cha kwanza hebu tafuta kwanza je hili ninalotaka kuuliza halijawahi kujadiliwa humu, ndio maana post nyingi hazina wachangiaji na pia kuna post hiiAliyekuwepo jana sio aliyepo leo ndugu...!
This is JamiiForums.
Thanks.
Hii ishu ndiyo inayofanya members wengi kutochangia mada mbali mbali humu, sababu ipo option ya ku search kama jambo lilishajadiliwa, mtu anarudia tena kulipost, sawa anataka kujua lkn cha kwanza hebu tafuta kwanza je hili ninalotaka kuuliza halijawahi kujadiliwa humu, ndio maana post nyingi hazina wachangiaji na pia kuna post hii
Tech & Gadgets: Jukwaa linavyozidi kupoteza Threads zenye mvuto na old members 2015
Ina nasibu sana post kama hizi.
Tutachangia sie followers wapya
Okay hatushindani bali tunaelekezana na ndio desturi ya wanajukwaa hili.Karibu sana ndugu.
Jiskie upo nyumbani kiongozi.
Shukran.
Okay hatushindani
bali tunaelekezana na ndio desturi ya wanajukwaa hili.