Actually mimi sio kwamba nimefrahia uyo mzee kumbambia dogo ilaa kuna wakati unapata kitoto kilaini mko mtu kati sasa hapo Ndio utatamani msifike...team fisi wanaelewa....ilaaa pale umechoka unahitaji kutafakari yako issue kama hizo huelewi ,sisi kama vijana ,wazaz ila bado kuna mambo yanatubamba flan hvBro pamoja na ligi zetu za kawaida nakuheshimu sana humu JF maana kiaina huwa uko level headed and mature, kama wewe ni baba wa binti mdogo haupaswi kushabikia kitu kama hiki, picha inaonyesha kabisa huyo ni mtoto, hajabalehe, libaba lote hilo bila aibu limejisukumiza kwa mtoto, hovyoo sana.
Aaah bro hii kama iliwah kutokea basi haiwez jirudia...station zilivyokaa huwez pitia kwa dirishaniSio kwa style ya kwenu hapo, full pasua kichwa, hivi hujaona hayo hayo mabasi ya BRT watu wakiingilia dirishani.
Changamoto ya huu mradi ni kwamba mwendeshaji ni anataka ku maximize profit..anaweka mabasi machache huku mengne yako yamepaki...inabid hii ipewe company serious .na kuwe na terms za maana kwenye mkataba...mfano kuna ma bus 70 yako port hawajalipa ushuru ilikuwa yaongeze uwezo wa ma bus kufika 210 from 140..Sio kwa style ya kwenu hapo, full pasua kichwa, hivi hujaona hayo hayo mabasi ya BRT watu wakiingilia dirishani.
wameshindwa vp hebu toa specific areas usije mpumbavu ukawa wewe tuSisi watanzania Ni mapumbavu Sana imagine tumeshindwa kuendesha Mwendokasi
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi unajua law of diminishing return wew au unaongea tu kuongeza basi. wewe unata yaongezwe mangapi ndio uone yanatosha.Suala la kuleta mkenya ata Mimi siafiki. Lakini serikali inabidi ijitahidi kutatua au kupunguza hii kero ya mwendokasi. Geza amini usiamini tatizo sio watu kua wengi kuzidi uwezo ila tatizo liko kwenye upungufu wa mabus.
Wakiongeza mabus kwa kiasi kikubwa watakua wamepunguza hiyo kero. Nyie labda mko karibu na watu wa serikalini tafadhari wafikishieni mawazo ya kutatua hii changamoto kabla haijawa tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga wewe Hilo li mradi sisi watu wa kimara tumeshalichoka Bora watuletee daladalawameshindwa vp hebu toa specific areas usije mpumbavu ukawa wewe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga wewe Hilo li mradi sisi watu wa kimara tumeshalichoka Bora watuletee daladala
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimara asbh kupata nafasi kuna mtiti maana gari zinakuja watu wameshajaa kituoni...raha yake ni nusu saa uko mjini
Wewe wachaga kujifanya mjuaji sana, brt INA manufaa makubwa, licha ya hizo changamoto unazishupalia, mtz jf kutosifia haimaanishi halina manufaa, always uko na mode ya kenya vs tz, you're always biased and you always sound stupid, eti tutumie treni.Hizo circumstances mbona kama za kila siku, hivi kando na nyie waimba mapambio MaCCM wa kila siku umeona Mtanzania mwingine humu akisifia? Maana watu wanajua kero wanazokumbana nazo kila siku, mimi nikiwa Dar nilikua nazikwepa maana sikuona haja ya kupata tabu zote hizo. Nilijaribu mara kadhaa kuzitumia nikaishia kero na kukata tamaa.
Ukianzia Kimara maana huko ndio mwisho zinakoanza zikiwa tupu utaenda freshi, ila anza kuzisubiri maeneo ya kati kama Ubungo utakoma ubishi.
Wewe wachaga kujifanya mjuaji sana, brt INA manufaa makubwa, licha ya hizo changamoto unazishupalia, mtz jf kutosifia haimaanishi halina manufaa, always uko na mode ya kenya vs tz, you're always biased and you always sound stupid, eti tutumie treni.
Mahn, just shut up.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania hatupo serious na haya mambo ya usimamizi, that's why hizi corporate na hospitality institutions zinawachukua wakenya kwenye eneo la uongozi na usimamizi ila sisi tupo magetini usafi, reception na jikoni huko.
Ni ukweli mchungu ila ndo hivyo
Arrived, Is someone recording the time taken? 30mns approx travelling 17km not easy
View attachment 1374533
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi unajua law of diminishing return wew au unaongea tu kuongeza basi. wewe unata yaongezwe mangapi ndio uone yanatosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
usipanic toa specific area waliposhindwa usione unaongea na wajinga wenzio humu. huwezi sema wameshindwa wakati hat hujui wameshindwa wapiMjinga wewe Hilo li mradi sisi watu wa kimara tumeshalichoka Bora watuletee daladala
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu swali unataka yaongezwe mangapi ndio uone yanatosha. yaani wewe kwenye lane ya km 21 unataka mabasi milioni moja yatatembea vipiMkuu fanya kama umeshinda. Kuna watu elimu zenu ni za kwenye makaratasi tu hivyo hapa tutabishana bila sababu yoyote hila nasimamia point yangu. Mabus ni machache. Sasa wewe lete hiyo hoja yako ya law of stupid return uliyosoma uonekana unaakili
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu swali unataka yaongezwe mangapi ndio uone yanatosha. yaani wewe kwenye lane ya km 21 unataka mabasi milioni moja yatatembea vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiii,Hawa wote???Kwani ni mkutano wa kisiasa? 😂😂😂
Hao wakukupigia Kura ya Urais Tz unapata bila pingamizi.Aiii,Hawa wote???