Watch "Tanzania's BRT system has been running for 3 years" on YouTube

Bro pamoja na ligi zetu za kawaida nakuheshimu sana humu JF maana kiaina huwa uko level headed and mature, kama wewe ni baba wa binti mdogo haupaswi kushabikia kitu kama hiki, picha inaonyesha kabisa huyo ni mtoto, hajabalehe, libaba lote hilo bila aibu limejisukumiza kwa mtoto, hovyoo sana.
Actually mimi sio kwamba nimefrahia uyo mzee kumbambia dogo ilaa kuna wakati unapata kitoto kilaini mko mtu kati sasa hapo Ndio utatamani msifike...team fisi wanaelewa....ilaaa pale umechoka unahitaji kutafakari yako issue kama hizo huelewi ,sisi kama vijana ,wazaz ila bado kuna mambo yanatubamba flan hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwa style ya kwenu hapo, full pasua kichwa, hivi hujaona hayo hayo mabasi ya BRT watu wakiingilia dirishani.
Changamoto ya huu mradi ni kwamba mwendeshaji ni anataka ku maximize profit..anaweka mabasi machache huku mengne yako yamepaki...inabid hii ipewe company serious .na kuwe na terms za maana kwenye mkataba...mfano kuna ma bus 70 yako port hawajalipa ushuru ilikuwa yaongeze uwezo wa ma bus kufika 210 from 140..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la kuleta mkenya ata Mimi siafiki. Lakini serikali inabidi ijitahidi kutatua au kupunguza hii kero ya mwendokasi. Geza amini usiamini tatizo sio watu kua wengi kuzidi uwezo ila tatizo liko kwenye upungufu wa mabus.
Wakiongeza mabus kwa kiasi kikubwa watakua wamepunguza hiyo kero. Nyie labda mko karibu na watu wa serikalini tafadhari wafikishieni mawazo ya kutatua hii changamoto kabla haijawa tatizo.


Sent using Jamii Forums mobile app
hivi unajua law of diminishing return wew au unaongea tu kuongeza basi. wewe unata yaongezwe mangapi ndio uone yanatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo circumstances mbona kama za kila siku, hivi kando na nyie waimba mapambio MaCCM wa kila siku umeona Mtanzania mwingine humu akisifia? Maana watu wanajua kero wanazokumbana nazo kila siku, mimi nikiwa Dar nilikua nazikwepa maana sikuona haja ya kupata tabu zote hizo. Nilijaribu mara kadhaa kuzitumia nikaishia kero na kukata tamaa.

Ukianzia Kimara maana huko ndio mwisho zinakoanza zikiwa tupu utaenda freshi, ila anza kuzisubiri maeneo ya kati kama Ubungo utakoma ubishi.
Wewe wachaga kujifanya mjuaji sana, brt INA manufaa makubwa, licha ya hizo changamoto unazishupalia, mtz jf kutosifia haimaanishi halina manufaa, always uko na mode ya kenya vs tz, you're always biased and you always sound stupid, eti tutumie treni.
Mahn, just shut up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe wachaga kujifanya mjuaji sana, brt INA manufaa makubwa, licha ya hizo changamoto unazishupalia, mtz jf kutosifia haimaanishi halina manufaa, always uko na mode ya kenya vs tz, you're always biased and you always sound stupid, eti tutumie treni.
Mahn, just shut up.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona usijadili hoja uache kunijadili.
 
Watanzania hatupo serious na haya mambo ya usimamizi, that's why hizi corporate na hospitality institutions zinawachukua wakenya kwenye eneo la uongozi na usimamizi ila sisi tupo magetini usafi, reception na jikoni huko.

Ni ukweli mchungu ila ndo hivyo

TAKE OVER
Kenyans trained to take over SGR operations - official
Some 2876 negligence notices and 288 warning letters had been issued.

In Summary
Africa Star Railway operation company deputy general manager He Fuhan said on Tuesday that the localization of SGR operations is nearly 80 percent .

Africa Star Railway Operation Company General Manager Li Jiuping with Embassy of China in Kenya Minister Counselor Guo Ce at SGR Nairobi Terminus yesterday/ANDREW KASUKU
Africa Star Railway Operation Company General Manager Li Jiuping with Embassy of China in Kenya Minister Counselor Guo Ce at SGR Nairobi Terminus yesterday/ANDREW KASUKU

Kenyans could soon take over all the operations of the Standard Gauge Railway, the company operating the line has said.
Africa Star Railway Operation Company deputy general manager He Fuhan said on Tuesday that the localisation of SGR operations is nearly 80 percent .

“This has been achieved through technical transfer skills in 123 railway specialities,” he said.

The company launched its report on 1,000 days of SGR operations at Syokimau on Tuesday.

The official said as localisation increases, so does the number of Kenyans in leadership positions.

“Two hundred and fifty two Kenyans work in leadership positions throughout the Mombasa-Nairobi-Naivasha route,” he said.

According to the company, 1,072 Kenyan employees are capable of independently performing their duties as of February 24, 2020.

He said the take over by Kenyans is as a result of the training and professional development opportunities available.

As at February 24, SGR operations had transported over 4.2 million passengers and 750,000 containers.

Huang Qing, a deputy manager with Africa Star said by 2019, they had found 188 standard risks and five serious risks.

As a result, 193 risk control and prevention measures and methods were created and implemented, he said.

Qing said there were 41 monthly average wildlife that crossed the line in 2017.

In 2018, there were 25 monthly average representing 39 percent decline while there were three in 2019 representing 86 percent decline.

Qing said the monthly average railway track theft in 2017 was 49.4 and 11.4 in 2018 representing 77 percent decline.

In 2019, there was 6.8 monthly average railway track theft in 2019 representing 44 percent decline.

The company operating SGR has dismissed 125 employees as of December 31, 2019.

Some 2876 negligence notices and 288 warning letters had been issued.

To ensure passengers are sensitized on fostering safety culture while on board trains, the company says, safety notices have been put inside the trains and train crew are always around.

The company says as at February 24, safety specialists had inspected the entire SGR operations network 269 times.

Africa Star railway operating company deputy general manager Sammy Gachuhi said in the last 1,000 days, there has been no injuries or loss of lives.

"We have ensured that operations run smoothly by providing adequate workforce. The workforce has all times provided continuous maintenance to locomotives, wagons, coaches and the track, " he said.

Gachuhi said they ensure regular track inspection using advanced track inspection vehicle and digital flaw detector.

Kenyans trained to take over SGR operations - official
 
hivi unajua law of diminishing return wew au unaongea tu kuongeza basi. wewe unata yaongezwe mangapi ndio uone yanatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu fanya kama umeshinda. Kuna watu elimu zenu ni za kwenye makaratasi tu hivyo hapa tutabishana bila sababu yoyote hila nasimamia point yangu. Mabus ni machache. Sasa wewe lete hiyo hoja yako ya law of stupid return uliyosoma uonekana unaakili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu fanya kama umeshinda. Kuna watu elimu zenu ni za kwenye makaratasi tu hivyo hapa tutabishana bila sababu yoyote hila nasimamia point yangu. Mabus ni machache. Sasa wewe lete hiyo hoja yako ya law of stupid return uliyosoma uonekana unaakili


Sent using Jamii Forums mobile app
jibu swali unataka yaongezwe mangapi ndio uone yanatosha. yaani wewe kwenye lane ya km 21 unataka mabasi milioni moja yatatembea vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom