Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watch "10 Richest African Musicians 2017 Forbes List" on YouTube

Discussion in 'Celebrities Forum' started by BigDick, Jan 8, 2017.

 1. BigDick

  BigDick Senior Member

  #1
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 13, 2016
  Messages: 147
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
   
 2. rama bendu

  rama bendu JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 23, 2015
  Messages: 242
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 60
  Kutokuwepo kwa diamond hakukuongezei wala kukupunguzia chochote. Diamond Ni kijana mwenzio na Ni mpambanaji.

  Tukutane afcon January 14 Gabon
   
 3. Kazubha

  Kazubha Member

  #3
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 25, 2016
  Messages: 44
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Naona wameanzia Dollar million 6 huku diamond yupo dollar million 4 so bado hata hao si wote kuna davido,na wengne wengi tu
   
 4. double R

  double R JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2017
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 992
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 80
  Du. Wanaachana sana kutoka $200m hadi 6m watu kumi tu.
   
 5. samsun

  samsun JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2017
  Joined: Feb 9, 2014
  Messages: 7,083
  Likes Received: 4,486
  Trophy Points: 280
  Dada hapo umewapatia haswa,wakikuuliza mbona kiba hayupo ..... waambie kiba si bwana'ko tena mlishaachana zamani sana,kwahiyo humshobokei tena.
   
 6. Kajolijo

  Kajolijo JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2017
  Joined: May 30, 2016
  Messages: 1,070
  Likes Received: 826
  Trophy Points: 280
  Wale wanaoshinda sauzi afrika kwenye nyumba za watu na kupiga picha kua ni zao hata top ten kumbe hawamo
   
 7. Vuitton

  Vuitton Member

  #7
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 19, 2016
  Messages: 58
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 25
  Ww ata kibanda unacho kweli?
   
 8. Kajolijo

  Kajolijo JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2017
  Joined: May 30, 2016
  Messages: 1,070
  Likes Received: 826
  Trophy Points: 280
  Mimi sina na ninakubali sina ila hawa jamaa zetu kucha wako kwenye magazeti na vyombo vya habari wakitamba kua wanamliki mali nyingi sana wakati hata top 10 hawamo
   
 9. M

  Million dollars JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2017
  Joined: Jul 20, 2016
  Messages: 295
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 60
  Kibakuli namuona top 3 palee endeleeni kujipiga vid*le halafu mnalia wenyewe team kibakuli bhana
   
 10. Blank page

  Blank page JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2017
  Joined: May 28, 2015
  Messages: 2,209
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  watu ambao hata kwenye list hiyo tukiwekwa top trillion,au hata 1,000,000,000,000,000,000,000,000 hatumo kwanin tuna wivu? aya jilinganishe wew na diamond unamfikia kias ganiii? au una dollar ngapi,au nani anakufahamu hapa TZ tuu?
   
 11. m

  mzaramo JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2017
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 4,617
  Likes Received: 1,921
  Trophy Points: 280
  Kama kwenye hiyo List Dimond hayumo ni ya uongo na tunaomba muipuuze..

  Ndani ya masaa 24 tutawaletea list ya ukweli.Asanteni sana
   
 12. BigDick

  BigDick Senior Member

  #12
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 13, 2016
  Messages: 147
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Aibu mmegeuza hasira hahahahaaaaa...
   
 13. BigDick

  BigDick Senior Member

  #13
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 13, 2016
  Messages: 147
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Tuliaminishwa jamaa yupo na kwa afrika mashariki ndo anaongoza bt nashangaa kumuona josee
   
 14. BigDick

  BigDick Senior Member

  #14
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 13, 2016
  Messages: 147
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Mbona povu braaah
   
 15. M

  Mwakamele 16 JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 26, 2016
  Messages: 228
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  Ina maana hata Masanja mkandamizaji hayupo?
   
 16. b

  bestmale JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 6, 2015
  Messages: 412
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Hahaahaha Bora hata kibA salome aongey sio wew ,diamond anawavunja vichwa,
   
 17. The Ideologist

  The Ideologist JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 11, 2012
  Messages: 408
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Hiyo sio Forbes mleta Uzi
   
 18. Blank page

  Blank page JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2017
  Joined: May 28, 2015
  Messages: 2,209
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  amn mkuu,si povu...sema nyie watyu ni complicatorz tu katik kujudge maish n mafanikio ya watu ase,kwa hlo nawapa big up coz mnaezaga kuutoa ukweli kwnye njia yake,il uwe uwong.
   
 19. m

  magnifico JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2017
  Joined: Jan 14, 2013
  Messages: 1,717
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Usiseme uchawi haupo kabla hujapitia posts za kwenye huu uzi.
   
 20. Bila bila

  Bila bila JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 20, 2016
  Messages: 218
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Watanzania tuna shida sisi!! Hivi mwenzio kuwa na fedha chache kunafanya wewe ghafla uwe na nyingi?
   
Loading...