Wanazo nyingi sana Mkuu kama za bima. Pia wana wateja wengi kutoka Tanzania ambao wanafanya biashara Dubai na wana nafasi pia ya kufanya benki kuwa ya kimataifa kama Stanbic, Standard Charters, Barclays, Access na nyinginezo ambazo ni multinational banks.