Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,698 Reaction score 6,312 Jul 20, 2024 #1 Game zinapigwa, timu inapata ushindi... Wachezaji wanalipwa... Mashabiki na wanachama wanafurahi... Hayo ndio ya msingi kwasasa... Hayo mengine ya sijui GSM anatumika sisi hayatuhusu Yanga hoyeeee
Game zinapigwa, timu inapata ushindi... Wachezaji wanalipwa... Mashabiki na wanachama wanafurahi... Hayo ndio ya msingi kwasasa... Hayo mengine ya sijui GSM anatumika sisi hayatuhusu Yanga hoyeeee
R Right eye JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 1,249 Reaction score 2,183 Jul 20, 2024 #2 Safi kabisa..
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,766 Reaction score 14,776 Jul 20, 2024 #3 Usikute mtoa uzi ni moderator wa jana. Mwenye tabia za mipasho kama raisi wake
ANT DRUGS JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 5,231 Reaction score 6,472 Jul 20, 2024 #4 Imeisha hiyo
Warld JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 547 Reaction score 1,238 Jul 20, 2024 #6 Heading inaonesha jinsi ulivo mchawi.
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,064 Jul 20, 2024 #7 Ahyan said: Game zinapigwa, timu inapata ushindi... Wachezaji wanalipwa... Mashabiki na wanachama wanafurahi... Hayo ndio ya msingi kwasasa... Hayo mengine ya sijui GSM anatumika sisi hayatuhusu Yanga hoyeeee Click to expand... Simba ilikuwa inapata matokeo Uto mkaanza MOO atoe Bil 20 mkazusha weeee kelele na Fitina. Sasa Vijana wa Mujini wameanzisha Kampeni ya UBAYA UBWELA lengo mpasuke msambaratike.
Ahyan said: Game zinapigwa, timu inapata ushindi... Wachezaji wanalipwa... Mashabiki na wanachama wanafurahi... Hayo ndio ya msingi kwasasa... Hayo mengine ya sijui GSM anatumika sisi hayatuhusu Yanga hoyeeee Click to expand... Simba ilikuwa inapata matokeo Uto mkaanza MOO atoe Bil 20 mkazusha weeee kelele na Fitina. Sasa Vijana wa Mujini wameanzisha Kampeni ya UBAYA UBWELA lengo mpasuke msambaratike.
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 18,313 Reaction score 34,581 Jul 20, 2024 #8 Wacheni tantalila mpeni Magoma funguo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,155 Reaction score 185,443 Jul 20, 2024 #9 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw