Watapewa kesi gani?

Asilimia 90 ya wadhungu ni machizi

jana nimeona moja kama hiyo ila yeye juu ndo alikuwa wazi,yaani kapiga bonge la kata k,jeans limetaiti alafu wahuni wakimpigia makelele ndo kwanza anazungusha kiuno. Wanawake..? kweli wakiwezeshwa wanaweza
 
Wanawaonea tu...watu wanapunga upepo
 
trafiki atamwambia ngoja nikusaidie huyo abiria apande kwenye bodaboda yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…