Watanzania zindukeni, Taifa linazama

Afrika ni bara masikini, hivyo hata kama ingekuwa ni nchi ya kwanza barani Afrika bado ingekuwa masikini tu. Hapa unachojisifia ni sawa na kumsifia mtoto wako kuwa kwenye top ten huko darasani lakini ni top ten ya waliopata division IV.
Punguzeni makasiriko. Panapo mafanikio kubalini ndiyo uungwana, siyo kupinga kila kitu.
 
Mzimu wa JPM unalitafuna Taifa na kama ilikuwa si kwa mapenzi ya Mungu tujiandae na dhiki kuu
JPM takataka muache aendelee kuoza huko jahanamu. Yote haya tunayopitia ni kutokana na UHARIBIFU alioufanya 2015-20
 
Wafugaji wamefikishwaje hapo?
Nyama ya ng'ombe inasafirishwa sana nje kwa hivi sasa, kumbuka kuna viwanda lukuki vinavyochinja na kusafirisha nyama nje. Hiyo ndiyo sababu (nafikiri) ya nyama kwenye mabucha kupanda. Lakini ni pongezi kwa wafugaji
 
Pamoja na maombi, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni kichocheo mhimu.
 
Safi sana!

Hiyo yote ni ili kuwakomoa mataga na sukuma gang
 
Duniani kote miji mikuu na majiji bidhaa huwa ziko juu.......

Hushangai bei ya nyama haifanani dar na huko mikoani?!!!!!
 
Utopolo. Huu uzi umekuzidi uwezo wa kufikiri. Nenda Facebook.
Come with a counter argument and not a sweeping statement, it is the principle of great thinkers.

Other wise you are just a mediocre mind
 
Huyo anaishi kwa shemeji yake na ana lala sebuleni sasa akili atazitoa wapi mkuu?
Yaani vijana wa CCM ni janga la Tanzania
Una hakika anaishi kwa SHEMEJI yake?!!!

Unataka uongee kwa HISIA kana kwamba wenzako nao hawawezi kuongea KIHISIA.......

Hivi hushangai bei ya nyama ni tofauti kati ya MAJOHE ,GONGO LA MBOTO ,CHARAMBE na ile ya MIKOCHENI ,MASAKI NA MAKUMBUSHO KIJITONYAMA?!!
 
πŸ˜πŸ˜πŸ‘
 
Maombi ni muhimu sana na yalimsaidia Daudi. Lakini pia kumbuka kuwa Daudi alitumia mikono yake kuchukuwa jiwe na kombeo na kulitupa. Watanzania ni lazima tuchukuwe makombeo, mawe yetu na tuweze kuyatupa kwa CCM.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
 
Duniani kote miji mikuu na majiji bidhaa huwa ziko juu.......

Hushangai bei ya nyama haifanani dar na huko mikoani?!!!!!
Hoja ya mtoa mada ni kuwa miezi mitatu nyuma Bei ya nyama dar ilikia ni 6,000
Lakini pia kilichopanda sio nyama tu ni kila kitu hadi sabuni
 
huo niujinga namba moja hivi ccm ndiyo wanaongeza bei zavitu?

chadema wanaweza kuleta vitu vya bei nafuu? ulizeni wachumi wawaambie hizi ni vitu vya kawaida hakuwezi kua na rate moja ya bei mwaka mzima

mtabaki kuwa wapinzani chadema kwakuwa hamna akili
 
Halafu eti na wewe pengine unaitwa msomi,na akili za mavi ulizonazo, mfumuko wa Bei ni neema kwa watu?
Siyo nyama tu iliyopanda , Mafuta ya kupikia, Sukari, sabuni na Pesa haina Thamani,ni Bora ungeficha ujinga ulionao hapa.
Jamaa anachekelea upuuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…