Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,379
Usijitingishe mkuu. Mama anaponya nchi. Magufuli aliiharibu sana nchi hii 😂😂😂Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Haya ni mabadiliko ya kawaida Sana. Kwasababu maisha yanasonga mbele basi usitegemee bei kubakia palepale.Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Ukisoma hii post unaweza fikiri Nchi yetu ni sawa na Zimbabwe lakini ukienda mtaani wala watu hawana time na hizo sintofahamu. Fanya kazi kijana acha longolongo za #KatibaMpyaTanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
UNAKERA. Wewe ni mwanaume bana huko kama jike. Kuwa na msimamo.Ukisoma hii post unaweza fikiri Nchi yetu ni sawa na Zimbabwe lakini ukienda mtaani wala watu hawana time na hizo sintofahamu. Fanya kazi kijana acha longolongo za #KatibaMpya
Huko Duniani tunaitwa taifa la mbumbumbu kwa ajili wa majitu kama wewe.Ndio nyie vijana wa chadema digital hahahaha
Mwambieni wawape semina elekezi hahaha
Mkuu ningependa kujua kuwango chako cha Elimu, kwa sababu ni mbumbumbu tu anayeona inflation ni jambo la kawaida.Haya ni mabadiliko ya kawaida Sana. Kwasabb maisha yanasonga mbele basi usitegemee bei kubakia palepale.
Ondoka kwa shemeji yako uanze kujitegemea ndo utajua ilipo mitoNchi inazama wapi mito imekauka
Ni Bora kufuga mbuzi kuliko kuzaa Toto juha Kama weweNdio nyie vijana wa chadema digital hahahaha
Mwambieni wawape semina elekezi hahaha
Kuna tofauti kati ya msimamo na upumbavu. Wewe una akili tegemezi ya kufuata upepo mimi nina jiamini. Ndiyo tofauti yetuUNAKERA. Wewe ni mwanaume bana huko kama jike. Kuwa na msimamo.
Kama hujishughulishi na shughuli yeyote ya kiuchumi lazima utaona nchi inazama, kumbe unazama wewe binafsi. Tumia muda wako kutafuta pesa, uana harakati wa ki CHADEMA unakupotezea muda tuTanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Binafsi naona CCM wako sawa kwasababu wanategemea wizi wa kura kupanga Matokea mwizi wa kura unategemea akuletee maendeleo au unafikiri mbinu alitozitumia kuiba kura anashindwa kuzitumia kuiba kodi yako?Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Kwamba Nyama haijafika elf 10 kwa kilo?Ndio nyie vijana wa chadema digital hahahaha
Mwambieni wawape semina elekezi hahaha
Hivi lini utakuwa na akili mbadala wewe kiumbe?Ndio nyie vijana wa chadema digital hahahaha
Mwambieni wawape semina elekezi hahaha
Ohoooooooooo!Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Sababu nchi inaongozwa na watu wasio na maadili japo kwe ishara za nje wanajifanya wachamunguTanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Ndio nyie vijana wa chadema digital hahahaha
Mwambieni wawape semina elekezi hahaha