Watanzania zindukeni, Taifa linazama

Watanzania zindukeni, Taifa linazama

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,333
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.

CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.

Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000.

Tanzania ni Taifa la pili Afrika Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.

Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.

Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.

Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.

Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.

Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.

Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.

Maisha hayaeleweki, mara Tozo, sijui mara nini.

Mungu yupo, naye husimama na wenye haki.
 
Ushasikia kuwa wenye mamlaka wanajiita hayo majina ndiyo ujue chumvi imekolea kwenye mboga
 
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.
Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000,.
Tanzania ni Taifa la pili Africa Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.
Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.
Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.
Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.
Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.
Maisha hayaeleweki ,mara Tozo,sijui mara nini.
Mungu yupo,naye husimama na wenye haki.
Hebu jigeuze wewe ni mfugaji kisha soma tena andiko lako
 
Lengo la CCM ni kuwaua wananchi ambao hawafanyi kazi serikalini, wao wanamishahara wanalipana humo hawana habari na wale walalahoi. Ndio maana tunaona kila kukicha bei za vitu vikipanda hii yote ni kutaka wananchi washindwe kuishi wajifie mabarabarani tu. Ndio lengo lao nadhani..haiwezekani kila bidhaa inapanda bei kila siku ina maana wanaona wao wanaweza kumudu hizo gharama hivyo hawana haja ya kudhibiti ili na wale wadogo wamudu. CCM wana umimi mwingi sana...Ila mwisho wao waja mbele kidogo
 
UKIONA MTU ANAWEZA KUSHABIKIA UJINGA UNAOONEKANA WAZIWAZI KABISA BILA KUTUMIA AKILI NYINGI BASI JIEPUSHE NA KUARGUE NA MTU WA NAMNA HIYO,KWA SABABU NI KIPOFU.GHARAMA ZA BIDHAA ZIMEPANDA NCHI NZIMA ALAFU MJINGA MMOJA ANASHABIKIA KANA KWAMBA YY ANAISHI HEWANI.HUWA NI SHIDA SANA KUARGUE NA WATU WENYE IQ NDOGO.
 
Hao wenye mamlaka wala hawatokaa kusikia haya malalamiko maana wao wanahudumiwa na serikali kila kitu.. yaani hawana bajeti za kula kwao. Tunawalisha sisi ndio maana wanapanga tu bei watakavyo.

Maji, umeme, usafiri, vocha, vyote wanateleza free tuu... Kwanini wasiwekewe watumishi kama walimu hizi huduma??
 
IMG_20211124_232131.jpg
 
UKIONA MTU ANAWEZA KUSHABIKIA UJINGA UNAOONEKANA WAZIWAZI KABISA BILA KUTUMIA AKILI NYINGI BASI JIEPUSHE NA KUARGUE NA MTU WA NAMNA HIYO,KWA SABABU NI KIPOFU.GHARAMA ZA BIDHAA ZIMEPANDA NCHI NZIMA ALAFU MJINGA MMOJA ANASHABIKIA KANA KWAMBA YY ANAISHI HEWANI.HUWA NI SHIDA SANA KUARGUE NA WATU WENYE IQ NDOGO.
Atakuwa anaishi kwa shemeji huyo
 
Back
Top Bottom