error term
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 388
- 623
Kwa mtazamo wangu jamii yetu tumeijenga katika mambo ambayo hayana faida na kikwazo kikubwa katika kukuza uchumi watu na kulikomboa tafaifa kwakupenda vitu vyepesi kuliko kuthamini na kuendeleza michango ya wasomi na kuithamin zaid taaluma katika jamii yetu
Katika jamii yetu wanafunzi wanao fanya vema katika level tofauti kuanzia shule za mshingi sekondari hata chuo kikuuu wakitangazwa baada ya matokeo jamii yetu inachukulia jambo la kawaida na watu hao husaulika ndani ya kipindi kifupi sana
Lakin kama watu hao tungewatukuza na kuwapa moyo sana katika kila mtandao wa kijamii Taifa letu lingekuza elimu na vizazi vijavyo vingetambua umuhimu wa elimu kuanzia level ya chini.
Lakin tumejisahau sana tunatumia nguvu jingi kukuza majina ya watu ambao mchango wao sio mkubwa sana zaid unachochea uzembe na uvivu katika jamii
Naomba nitoe mfano
Watanzania hasa vijana tunafatilia matukio ya watu ambao umearufu wao unatokana na ngono, mipasho kuliko mambo ya kujenga taifa, emekuwa kawaida kusambaza habari ya Wema leo anatoka na mtu mflan, kuna bifu kati ya Wema na Mange Kimambi,
Masongange saiz anatoka na nan, na hata wanasiasa ambao wataka umaharufu usio na tija lazima atumie majina ya watu kama hao, je tunatengeneza jamii ya watu gani, tunataka hata hili serikali ilifanye.
Ni muda muafaka sasa tuanze watukuza watu wenye michango chanya katika jamii yetu na kuwafanya hao ndio masuper star ili watoe chachu ya kukuza science na technology katika kusukuma gurudumu la maendeleo.
Mungu ilinde Tanzania, Mungu mlinde Rais Wetu.
Mungu mpe nguvu na moyo wakujenga jamii bora RC Makonda