Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Yaani una elimu ya chuo, vyeti ni safi, uzoefu wa kazi unao, viambatanisho vyote atakavyotaka next employer unavyo, sample za kazi zako unazo...(ingawa huna mtu wa kukushika mkono au hongo).
Una apply kazi karibu 20, unaitwa 5 kwenye interview, kisha hupigiwi simu tena! tatizo liko wapi? ukiangalia huna uliyegombana nae ati labda kakwendea kwa mganga.
Rafiki yangu hapa anataka kujiua, ushauri tafadhari.