Watanzania wengi wanapoteza muda kwenye 'smartphone'?

Watanzania wengi wanapoteza muda kwenye 'smartphone'?

Tofauti zetu ni kwamba:- wewe kuna mwanaume mwenzako alala huku anawaza wewe utamfanyia nn kukicha hadi jua kuzama, wakati wenzio wako huru kuendesha mambo yao. pole sana
 
Ng`ang`anieni kutetea upuuz wenu. mnapoambiwa ukweli kwamba smart za whatsup na instra mnapoteza muda hamtaki' sebuleni smart na watoto hawana usalama kwa kuwavua chupi- ubakaji hautaisha

Tangu nijue ughaibuni weupe wanavyo ishi bila kuendekeza simu niliona sisi watu waajabu sana-

Visa vya ubakaji tena ndgu yako dada ako unamla sebuleni- hapa mnatetea. Mna misuse mitandao nyinyiemu. Zinapotolewa takwimu kwamb ukanda wa kusini mwa jangwa matumiz ya simu ni makubwa mkadhani ni ujanja- sio kabisa
 
Kwa nchi kama yetu Muda huu najua wengi tuko bize na Google katika ku drive apps kama Instagram facebook WhatsApp na ubize mwingi kwenye smartphone, tujue tunapoteza muda sana kuongeza wigo wa kufikiria na hata kutenda kitu.

Natoa angalizo kama tusipojirekebisha, kujiendeleza kitaaluma tukisubiria tufanyiwe kila kitu kama vile kujengewa reli madaraja, mahospitali maghorofa, mwendo kasi tukae tukijua tunajipeleka kwenye mikono ya utumwa sisi wenyewe bila kupenda.

Maana tunawakaribisha ngozi nyeupe sisi wenyewe na kuwapa miradi mikubwa na sisi wenyewe wote kukaa pembeni tukisubiria eti atoe kodi ndipo tufaidike.

Hata ajira tunazopewa ni ulinzi na usafi, baada ya miaka mia ijayo tunaweza jikuta tuko mikononi tena kwa wazungu tukitumikishwa.

Watanzania wenzangu tubadilike popote pale ulipo, itafika muda mjini na maeneo mazuri wamejaa wazungu na wachina.

Sisi tutaishia vijijini pamoja na uswahilini. Tufanye kazi kwa juhudi na maarifa tusije rudi kwenye ukoloni ambao Mwalimu Nyerere alitukomboa.

Tumekuwa watu wa kuridhika na kustarehe kwenye mitandao. Mwisho wa siku nchi yetu wenyewe tutapangiwa maeneo ya kutembea kama ilivyo South Africa.

Nawasilisha
Tathimini yako umeifanyia wapi kama sio na wewe kushinda mitandaoni? Acha u...wewe!
 
Nawewe huku jf unafanya nini !?, hupotezi muda !?
 
Ng`ang`anieni kutetea upuuz wenu. mnapoambiwa ukweli kwamba smart za whatsup na instra mnapoteza muda hamtaki' sebuleni smart na watoto hawana usalama kwa kuwavua chupi- ubakaji hautaisha

Tangu nijue ughaibuni weupe wanavyo ishi bila kuendekeza simu niliona sisi watu waajabu sana-

Visa vya ubakaji tena ndgu yako dada ako unamla sebuleni- hapa mnatetea. Mna misuse mitandao nyinyiemu. Zinapotolewa takwimu kwamb ukanda wa kusini mwa jangwa matumiz ya simu ni makubwa mkadhani ni ujanja- sio kabisa
Waambie maana tumepotea jamanii
 
Mwambie wengine tunasubiri hesabu tu jioni, kutwa kucha tumelala na simu zetu viganjani
Waafrika tunaridhika sana.....unavyoongea utafikiri unasubiri mamilioni kila siku.....tuachekudanganyana..tufanye kazo zaidi na zaidi
 
Sa kama kazi haikabi basi ndio muda ya kuongeza Maarifa zaidi.
Na ndio maana Rais wa Urusi alisema Mimi sijawahi kutumia smartphone., lakini sisi wa bongo bila kutoa smartphone kwenye daladala au mwendo kasi basi hujafika safari yako.
hapo utakuwa unawapangia watu cha kufanya
 
kama ivi nipo kwenye mtandao nimepata ujumbe wako,,,, wazo zur bt mitandao pia inamchango wake,, nchi unazoona zimeendelea pia kweny mitandao wanaingia vizur tuu sema tuwe na mda wa kazi na mda wa kua katika mitandao,,.kutegemea na mda wako
 
Waafrika tunaridhika sana.....unavyoongea utafikiri unasubiri mamilioni kila siku.....tuachekudanganyana..tufanye kazo zaidi na zaidi
Nikweli mm nimeridhika na kile ninachopata mkuu kama ww hujaridhika endelea kupambana hope ipo siku tutakuona kwenye list
 
Huko ktk mtandao ndio kuna maisha ya watu, kuna biashara lukuki zinafanyika kupitia mitanda dunia nzima, kuna watu simu ndio ofisi, yupo mjini amepanga, anasomesha na anawasaidia ndugu na jamaa na wazazi kupitia simu yake. Binafsi ni mfanyabiashara, mzigo wangu ukifika ninachofanya ni kupata sampo kwa simu na kuwatumia wateja wangu sehemu tofauti tofauti kisha nasubiria oda na baada ya muda nafanya biashara.
Kama wewe ni mvuvi ndio maana huoni umuhimu wa smartphone maana kucha upo majini kama pweza.
 
Kwahiyo unataka tufanye nini? Kushinda kwenye mtandao sio sababu ya kutotimiza wajibu. Wengine kazi zetu hazikabi kiviile.
kama unatabia hiyo ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii bila ya kuwa na maana baasi huu uzi wakuhusu ila kama wewe s mmoja wa hilo basi yakubidi kujilinda ili usiwe mmoja wa waathirika hao..
 
Kwahiyo unataka tufanye nini? Kushinda kwenye mtandao sio sababu ya kutotimiza wajibu. Wengine kazi zetu hazikabi kiviile.
Sio hazikabi, kazi zenyewe ziko wapi? Watu tunapunguza kupata kiharusi kwa kucheza na simu hasa ktk kipindi hiki cha vyuma mkazo.
 
Kuna watu humu wapo vizur saana kuropoka au kutoa matamshi ambayo hayana uhai ktk dunia ya ubngo wenye fikra pevu...

Kama weewe hutumii au kupoteza mda kwenye social media tajwa hapo juu basi yakubidi ukae tu kimyaa kwan huu uzi ni dawa ya wale walio na ugonjwa wa kupoteza muda ktk social media bila faida...

Ila kama wewe unapata faida kushinda au kuwapo kwenye social media yakupasa utoe mawazo mbadala ambayo yaweza kuwaokoa kina sisi ambao all times tupo kwenye social media kazi kuchek porn,kufuatilia relationship za mastaa n.k huku mambo yakiwa yanalala..ipo hvyoo alaaaamsiiiiki
 
Back
Top Bottom