Inaonyesha jinsi gani ulivyo limbukeni wa maisha,Hebu taja au onyesha aliyewahi kuja mjini na kwenda moja kwa moja kuishi nyumba iliyokamilika au isiyokuwa chumba kimoja!. Wewe inaonyesha kwanza bado uko kwa shemeji au Kaka yako.Wakati ndugu zao walioko kijijini uhisi ndugu zao wa mjini wanaishi vizuri.
Ukweli ni kuwa wengi wamepanga chumba kimoja, umo umo ndoo za maji ya kunywa na kuoga, kitanda, vyombo etc.
Hawana na tofauti na wanafunzi wa hostel. Lengo langu si kuwasema vibaya bali mjitahidi mpige kazi kwa juhudi mtoke kulala stoo na kupanga nyumba nzima.
Siyo wageni wakija washindwa hadi kubadilisha nguo na kwenda kubadilisha nje.
Juhudi yako binafsi ndio itakunasua usilale stoo cha muhimu upige kazi usupoteze muda kupiga majungu.
Kazi kwenu sasa
tehe tee tee te te!!!mjini uwe na pesa na nyumba ya maana,pia kijijini unaweza kujiachia maana kuna maeneo ya kutosha na gharama ya maisha hasa misosi haisumbui akili unaingia tu shamba.
Shambani nao wasiwacheke wa mjini kivile eti wamebanana maana unakuta mtu kajenga nyumba kubwa la bati vyumba kama nane,chumba cha watoto wake na wamajirani kulala usiku humo humo,yeye na mke wake humo humo,ng'ombe,mbuzi,kitimoto,punda,mbwa,paka,wote pamoja wakibanana,kwenye dari kuna kuku wa kienyeji wananyea chini,jikoni wapishi na vigoda vyao wanaangaliana opposite na paka anayemelea maziwa ukigeuka kadokoa nyama,ukiwa na tv majirani watajazana kama taarifa ya habari imeisha watakulazimisha hata waangalie kwaya.
Wakati ndugu zao walioko kijijini uhisi ndugu zao wa mjini wanaishi vizuri.
Ukweli ni kuwa wengi wamepanga chumba kimoja, umo umo ndoo za maji ya kunywa na kuoga, kitanda, vyombo etc.
Hawana na tofauti na wanafunzi wa hostel. Lengo langu si kuwasema vibaya bali mjitahidi mpige kazi kwa juhudi mtoke kulala stoo na kupanga nyumba nzima.
Siyo wageni wakija washindwa hadi kubadilisha nguo na kwenda kubadilisha nje.
Juhudi yako binafsi ndio itakunasua usilale stoo cha muhimu upige kazi usupoteze muda kupiga majungu.
Kazi kwenu sasa
Inaonyesha jinsi gani ulivyo limbukeni wa maisha,Hebu taja au onyesha aliyewahi kuja mjini na kwenda moja kwa moja kuishi nyumba iliyokamilika au isiyokuwa chumba kimoja!. Wewe inaonyesha kwanza bado uko kwa shemeji au Kaka yako.
ndo kijijini kulivyotehe tee tee te te!!!
Wakati ndugu zao walioko kijijini uhisi ndugu zao wa mjini wanaishi vizuri.
Ukweli ni kuwa wengi wamepanga chumba kimoja, umo umo ndoo za maji ya kunywa na kuoga, kitanda, vyombo etc.
Hawana na tofauti na wanafunzi wa hostel. Lengo langu si kuwasema vibaya bali mjitahidi mpige kazi kwa juhudi mtoke kulala stoo na kupanga nyumba nzima.
Siyo wageni wakija washindwa hadi kubadilisha nguo na kwenda kubadilisha nje.
Juhudi yako binafsi ndio itakunasua usilale stoo cha muhimu upige kazi usupoteze muda kupiga majungu.
Kazi kwenu sasa
Wakati ndugu zao walioko kijijini uhisi ndugu zao wa mjini wanaishi vizuri.
Ukweli ni kuwa wengi wamepanga chumba kimoja, umo umo ndoo za maji ya kunywa na kuoga, kitanda, vyombo etc.
Hawana na tofauti na wanafunzi wa hostel. Lengo langu si kuwasema vibaya bali mjitahidi mpige kazi kwa juhudi mtoke kulala stoo na kupanga nyumba nzima.
Siyo wageni wakija washindwa hadi kubadilisha nguo na kwenda kubadilisha nje.
Juhudi yako binafsi ndio itakunasua usilale stoo cha muhimu upige kazi usupoteze muda kupiga majungu.
Kazi kwenu sasa
Wakati ndugu zao walioko kijijini uhisi ndugu zao wa mjini wanaishi vizuri.
Ukweli ni kuwa wengi wamepanga chumba kimoja, umo umo ndoo za maji ya kunywa na kuoga, kitanda, vyombo etc.
Hawana na tofauti na wanafunzi wa hostel. Lengo langu si kuwasema vibaya bali mjitahidi mpige kazi kwa juhudi mtoke kulala stoo na kupanga nyumba nzima.
Siyo wageni wakija washindwa hadi kubadilisha nguo na kwenda kubadilisha nje.
Juhudi yako binafsi ndio itakunasua usilale stoo cha muhimu upige kazi usupoteze muda kupiga majungu.
Kazi kwenu sasa
Wakati ndugu zao walioko kijijini uhisi ndugu zao wa mjini wanaishi vizuri.
Ukweli ni kuwa wengi wamepanga chumba kimoja, umo umo ndoo za maji ya kunywa na kuoga, kitanda, vyombo etc.
Hawana na tofauti na wanafunzi wa hostel. Lengo langu si kuwasema vibaya bali mjitahidi mpige kazi kwa juhudi mtoke kulala stoo na kupanga nyumba nzima.
Siyo wageni wakija washindwa hadi kubadilisha nguo na kwenda kubadilisha nje.
Juhudi yako binafsi ndio itakunasua usilale stoo cha muhimu upige kazi usupoteze muda kupiga majungu.
Kazi kwenu sasa
Unajuaje kila mtu anataka wageni?
Baada ya kukosa udaku, leo unaibuka na bumba ya aina nyingine! Unafanya kazi gani vile!
huu uzi sio wake ameuiba kule jukwaa la great thinker kuna member ali post ukakosa wachangiaji!
Mie sijawadisi nimeeleza ukweli wa maisha na nimewapa moyo mtafanikiwa msijali lakin mkipiga kazi