Watanzania Wengi tulivyo

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
16457.jpg


Hii ni halisi ya Watanzania wengi vijijini.
Hii siyo Tanzania wanaoishi wakina Prof. Beno Mbullu,Lowassa ,Dr Idris Rashid etc .
 
16457.jpg


Hii ni halisi ya Watanzania wengi vijijini.
Hii siyo Tanzania wanaoishi wakina Prof. Beno Mbullu,Lowassa ,Dr Idris Rashid etc .
sasa huyo ni bora,ameshika vitu gani?
kama ile vya kunyweshea maji kuku?
 
1._Extreme_poverty.jpg


We Mmakonde wewe hauko serious...!

Huyo mtoto ana Maisha mazuri sana, na tena ni mjasiriamali wa kisasa kabisa!

Unamlinganishaje na huyu hapa kwangu?

We huujui umasikini wewe!
 
sasa huyo ni bora,ameshika vitu gani?
Kama ile vya kunyweshea maji kuku?
hapa hii picha bado nahisi ina walakini:
Inawezekana huyu binti katoka kupata msaada ya hayo magudulia ya kunyweshea maji kuku, kwa jinsi mazingira yalivyo sidhani kama anamudu gharama ya hayo magudulia!!!.
Maisha bora kwa kila mtz bado sanaaaaaaaaaa.
 
hapa hii picha bado nahisi ina walakini:
Inawezekana huyu binti katoka kupata msaada ya hayo magudulia ya kunyweshea maji kuku, kwa jinsi mazingira yalivyo sidhani kama anamudu gharama ya hayo magudulia!!!.
Maisha bora kwa kila mtz bado sanaaaaaaaaaa.
au ndio FOTOSHOP?:D
 
Hawa wazazi wao ndio wanachagua CCM!Kama fisadi Chenge Wanyatunzu wanampokea kwa Shangwe huko Bariadi baada ya kufraud Serikali au Fisadi Lowassa
wamasai juzi walivyompokea huko kwao.Unbeliavable.

Wana JF tusitegemee mabadiliko ,nchi inakwenda kuwa kama Nigeria!Mbaya zaidi donors bado hawajashtuka,otherwise wangeshaweka travel restrictions kwa mafisadi wetu.
 
sasa huyo ni bora,ameshika vitu gani?
kama ile vya kunyweshea maji kuku?

Nchi hii basi tu,wengi those days akukua na jinsi ya kupata picha kirahisi otherwise tungeweza kukumbuka machungu mengi.Ni jukumu letu kujaribu kuchange tha situation,those are our sisters and brothers.
 
halafu eti tunajifanya tunapigana na ufisadi wakati wengi humu atujui siku kupita bila ya mlo. These are the issues ambazo zinatakiwa kuelezewa daily humu ndani. Ninachoona ni watu ambao wako so concerned na ufisadi kwa nia ya kubadilisha uongozi tu lakini si kwa nia ya hawa watu. Hii vita ya Tanzania na watanzania or a bunch ex politicians wenye uchu tu.
 
PakaJimmy, picha yako imenishtua kichizi mpwa....duuh, hiyo noma kwa kweli.

SteveD,

nI KWELI HIYO PICHA INASIKITISHA MNO...lAKINI CHA KUMSHUKURU mUNGU NI KWAMBA WATOTO KAMA HAWA HAWAUGUIUGUI, maana ingekuwa hivyo wangeshakuwa marehemu siki nyingi!

Na ukiangalia kwa umakini unaona kwamba wakati yule wa kulia anakunywa maji hayo yaliyotuama kwa miezi, huyu wa kushoto anachezea mpira wa kiume (condom)uliotumika!
 
Back
Top Bottom