Watanzania wengi ni wachafu

Watanzania wengi ni wachafu

Uchafu pia unaweza kureflect katika namna ambavyo hatuwekezi kurekebisha mifumo yetu ya maji taka na kuhuisha ile iliyochakaa. Si ajabu ndio sababu magonjwa ya uchafu kv kipindupindu yanatukabili sana
 
Mungu awabariki wale ambao hawatupi kopo la maji mpaka wakutane na dustbin. Mungu awabariki ambao hawajisaidii pembeni kwenye vyoo vya umma, Mungu awabariki wanaojali kuflashi.
 
watanzania uchafu unaanzia kichwani (akili za watanzania wengi zimejaa uchafu i.e dirty contents) mtu kichwani amajaza matakata unafikiri huku nje mambo yanakuwaje.. hii ni picha halisi ya nchi ya Tanzania ilivyo .. hiyo nchi ni chafu kwenye kila eneo sio watu sio vitu kila jambo Tanzania limejaa uchafu..
 
Kuna na hii tabia watu kumwaga maji machafu barabarani inakera sana, na suara jingine kuwa umeendelea ni kigezo Cha usafi,
 
Mtu mpaka uweke toilet bango la tafadhali safisha ukiny ukijoa!? Kaa watoto!!?
 
watanzania uchafu unaanzia kichwani (akili za watanzania wengi zimejaa uchafu i.e dirty contents) mtu kichwani amajaza matakata unafikiri huku nje mambo yanakuwaje.. hii ni picha halisi ya nchi ya Tanzania ilivyo .. hiyo nchi ni chafu kwenye kila eneo sio watu sio vitu kila jambo Tanzania limejaa uchafu..
Tatizo kubwa!
 
Kuna na hii tabia watu kumwaga maji machafu barabarani inakera sana, na suara jingine kuwa umeendelea ni kigezo Cha usafi,
Hata usomi wako kama sio msafi. Usomi unakuwa hauna maana. Inasikitisha sana mtu anajiita msomi lakini mchafu,ajaabu. Wengine wadada lakini wachafu!
 
Ofisi za Umma na mashirika msiende Rwanda kujifunza usafi nyie nendeni Sleep way ni noma.
 
Back
Top Bottom