Its Human nature , kitaalam tunaita ‘The selfsh gene’ 😂😂🤣🤣 , mkoweka huu uzi sticky nitamwaga madini kitabu kizima kuhusu hivi vinasaba vya kichoyio, viko embedded kwenye kila uumbaji wa binadamu mwenye ufahamu (wivu & uchoyo).
Infact , binadamu hutumia wivu na uchoyo as a means of survival and propagation.., its vital to human development..., jamii isiyo na wivu haiwezi kuendelea, ukichunguza, chanzo cha maendele yote makubwa ni wivu na uchoyo. Unakuta watu wanajenga ghorofa refu kuliko yote duniani ili walipite ghorofa la nchi nyingine..., drive kubwa ni wivu....
Unakuta hadi leo Tz hatuwezi kuzalisha hata transformer ya umeme, ni uchoyo tu ndio unasababisha haya,..., na wananufaika na uchoyo huu.., maana sisi tumekuwa tunatajirisha nchi zingine kwa kuagiza kila kitu...., aagh, ngoja niishie hapa