Watanzania wengi ni ma sadists???????????????


The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,832
Likes
23,135
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,832 23,135 280
NIMEKUWA NAJIULIZA HILI SWALI?????

JE WABONGO WENGI NI MA SADISTS????????

UKISIKILIZA MALALAMIKO YA MAPENZI KUTOKA KWA WATU WENGI UTAKUTA

HAO WANAOWAITA WAPENZI WAO NI KAMA MA SADISTS HIVI WATU WANAO WAPA
WENZAO MAUMIVI KWA MAKUSUDI NA KUFURAHIA.......KUANZIA KWENYE KULAZIMISHA TIGO
NA MENGINEYO......

BUT UKIWATAZAMA WATANZANIA PIA KWENYE MASUALA MENGINE MFANO SIASA
NA HASA UCHAGUZI HUU NA JUZI UTEUZI WA BARAZA LA MAWAZIRI.......

UNAKUTA MFANO WATU WAMEFURAHIA BAADHI YA WATU KUTOKUTEULIWA
KWA SHANGWE BILA SABABU ZA MSINGI SANA....

BINAFSI NAONA WENGI WALIOTEULIWA NA AMBAO HAWAKUTEULIWA
HAKUNA TOFAUTI SANA........NI WALE WALE....

SASA UKITAZAMA WABONGO KWA UJUMLA NA REACTIONS ZAO KWENYE MAMBO
KADHA WA KADHAA HUWA NAONA KAMA WATANZANIA WENGI TUMEKUWA MA SADISTS....

WE UNAONAJE??????


SADISTS-One whom gains pleasure in anothers enjoyment of pain or humiliation
 

Forum statistics

Threads 1,235,341
Members 474,524
Posts 29,219,277