Dr Slaa alienda Kigoma kupigania hayo??
Unachekesha,
Abnormal ni wewe uliyeshindwa kugundua kwamba chama kinaendeshwa kibabe,na Dr Slaa alienda Kigoma akihisi anamkomoa Mh Zitto kumbe wanaenda kumpopoa,
Alafu mshauri wake yule muhuni lema(mini kabaang) na mchungaji Msigwa wanakula bata Dar
leo imedhihirika hata maprofesa wakishaingia CCM huwa wanakuwa wahovyo tu...
Hakika nyerere aliona mbali kuwa maadui wetu wa kuu ni Ujinga, Maradhi na Umasikini... Umasikini ni mbaya sana...prof amevalishwa miwani ya mbao! chezea $$$$$$$$Professor ana-argué Kama mwanafunzi wa QT? Lahaula!! Njaa mbaya jamani.
Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.
Siyo kuwa WanaKigoma wanapinga mtoto wao kuonewa kwa sababu tu alikuwa na nia ya kugombea Uenyekiti?

Hii abnormality unayoisema ndo inayofanya kila uchaguzi waichague CCM. Elimu zaidi ya ukombozi inatakiwa hasa mikoani hadi vijijini!
Akili za mawaziri wengi wa serikali ya ccm wanaoratibu uhuni dhidi ya chadema umedumaa
Sasa huu ndio ukanda/ukabila! Mbona hawakuandamana Mh. Kolimba alipouawa na CCM? Je, ni kwa sababu tu hakuwa mwanakigoma?
Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.
Ni wasomi wasio na elimu ya ukombozi!!Anzia Dar!wasomi wengi ila abnormality ni severe kuliko hata wasiosoma!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.
Nahangaika sana kukuelewa!