Watanzania wawili ndugu wauawa kwa kupigwa risasi Capetown Afrika Kusini

F-22 raptor

Member
Aug 24, 2023
42
86
Jamani nimepokea taarifa za kuhuzunisha sana,

Hawa marehemu ni ndugu, kaka na mdogo wake,

Mdogo alipigwa risasi siku ya ijumaa iliyopita, kaka mtu naye kapigwa risasi j3 iliyopita.

Hawa nawafahamu nilisoma nao shule moja ya msingi Kipawa Dar, kwa kweli ni majonzi mazito.

Kwa matukio haya Afrika kusini sio mahali salama kwa ndugu zetu wanaoishi huko.haya matukio yanajirudiarudia sana kwa nini?

R.I.P Frank Mringo
R.I.p Michael Mringo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom