watanzania wasanii wetu watafika kweli

Huyu dada jaman hajui kuimba yaan
Kuna waimbaj halafu kuna ariana grande. Sema wenzetu marekan tu wako watu million 300 sasa 92 hapo jumlisha na wa canada, britain na australia. Ila nashangaa how comes muimbaj mbovu kama huyu ana pata followers wote hao!!, kweli biashara matangazo
 
Yaani ameshinda AMA alafu unasema hajui kuimba?
Ariana grade ni moja wa wadada wenye influence kubwa kwa sasa US kwa kazi ya umodel na uimbaji
 
Yaani ameshinda AMA alafu unasema hajui kuimba?
Ariana grade ni moja wa wadada wenye influence kubwa kwa sasa US kwa kazi ya umodel na uimbaji
ihihihihihiii
Kwenye tuzo Ali Kiba alimshinda wizkid bas alikiba yuko vzuri sana!! Nooope!! Tuzo zinapatkana kwa namna mingi.
Kashinda nyingi zaid ya hizo ila she is a shyte singer jaribu hata kuchek matamasha yake.
Umodel nakubali yuko vzuri, na uigizaj nime mfuatilia toka ako mdogo ila kuimba hajuiiii.
 
Ww jamaa una matatizo siyo bure
 
Daaah.... Kwahyo unataka kusema mziki wake umejaa promo sio
Sio nataka tu kusema

Mziki wake umejaa promo nothing else, she was a star since she was a kid
Yeye na selena gomez, tena selena is worst lakin wote promo kubwa kuliko uwezo
 
Sio nataka tu kusema

Mziki wake umejaa promo nothing else, she was a star since she was a kid
Yeye na selena gomez, tena selena is worst lakin wote promo kubwa kuliko uwezo
Daah na promo ndio tatizo sasa hii dunia ya leo ndio maana hakuna nyimbo ambazo hazita kuja kuchuja kama zile za kina celine dion...westlife... Sahiz watu wanaipenda nyimbo eti kisa views...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…