Watanzania wapo makini sana kwenye memes kuliko mambo makini

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Leo kaja mchina ofisini kwangu maswala ya biashara ni moja wateja wangu ambao wapo kwa kazi maalumu ya ujenzi wa barabara.

Ila huyu mchina hakawa analalamika kuwa watanzania ni watu ambao maisha yapo makini kwenye memes.

swala la memes kwangu limebeba mambo mengi kama nifikiliavo.
*utani ,uvumi,mzaha na porojo.

kwa mimi navoliona .
unaweza kukuta jambo la maana linaelezwa ila mtu hakachapia basi hapo hapo limeshakuwa memes
 
Meme ndo nini?Wengine hatujui maana yake. Mtu yeyote wa kuniambia maana ya meme sijui memes. Please.
886354111.jpg
 
Meme ndo nini?Wengine hatujui maana yake. Mtu yeyote wa kuniambia maana ya meme sijui memes. Please.
Meme inakua ni kaclip kafupi, wimbo au picha ambayo inakua na maelezo yanayoelezea tukio fulani ila katika namna ya kuchekesha.

Picha moja inaweza kua na maelezo mpaka mia na yote yanakua yanajaribu kufikisha ujumbe katika namna ya kuchekesha ila kuendana na picha, video au wimbo husika.

Mfano kuna video fulani ilionyesha paka anajirusha ghorofani, kuna mtu akaingizia maneno 'mi voy a matar a wii' yakimaanisha 'Najirusha najiua wiiii' sasa yale maneno yameingizwa kwenye videos mbalimbali za watu, wanyama wakianguka au wakiumia baada ya kufanya kitu ambacho wote tunajua kinaweza kukuumiza.

Pia kuna picha fulani maarufu ya jamaa yupo na mwanamke wake wanatembea ila anageuka kumtazama mwanamke mwingine.

Sasa watu wanaweza edit kwamba yule mwanaume ni Timu ya Simba, mwanamke aliyenaye ni Orlando Pirates ila mwanamke anayegeuka kumtazama ni Yanga. Yaani Simba yupo nafasi nzuri dhidi ya Orlando ila yupo tayari kupoteza dhidi ya Orlando ili akajiandae kwa ajili ya Yanga.

Nimeandika sana. Nitakupigia kukuelezea
 
20220331_101352.jpg
 
Leo kaja mchina ofisini kwangu maswala ya biashara ni moja wateja wangu ambao wapo kwa kazi maalumu ya ujenzi wa barabara.

Ila huyu mchina hakawa analalamika kuwa watanzania ni watu ambao maisha yapo makini kwenye memes.

swala la memes kwangu limebeba mambo mengi kama nifikiliavo.
*utani ,uvumi,mzaha na porojo.

kwa mimi navoliona .
unaweza kukuta jambo la maana linaelezwa ila mtu hakachapia basi hapo hapo limeshakuwa memes
Kumbee!
20220219_131319.jpeg
 
Mimi naweza sema memes kwa maana yangu ni umbea, habari za uzushi maana hapa wengi ndio wanapenda kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom