Hawa jamaa ni deci sema wao wako online tu na wanamipango kuvuna $200,000,000 kutoka kwa watanzania zaidi ya 200,000 ,huko brazil kimeshanuka jamaa kakamatwa the telexfree boss sasa viongozi msije sema hamkujua nini kinaendelea si mnasubiri mambo yawe tight
Weka source acha siasa...
Telexfree - Wikipedia, the free encyclopediaWeka source acha siasa...
Telexfree - Wikipedia, the free encyclopedia mzandiki wewe unaelazinisha watu wajiunge telexfree ndio ushaliwaaaa hivo jiangalie vizurimirindimo usijishushie heshima kwa uzushi,
weka source inayosema viongozi wa telexfree brazil wamekamatwa!
vinginevyo we ni mnafiki na mzandiki!
Telexfree - Wikipedia, the free encyclopedia mzandiki wewe unaelazinisha watu wajiunge telexfree ndio ushaliwaaaa hivo jiangalie vizuri
Unafanya maamuzi kwa kutegemea coments za jf pole. Nakushauri urudi kwa mtu aliyekuambia kuhusu hiyo kampuni then muulize kuhusu kilichotokea brazil ukiweza print kabisa hizo jf coments ukamuoneshe na wewe itafute kwa google, then baada ya hapo fanya maamuzi yaliyo sahihi. Achana na jf kukuamlia. Ipo siku watakuambia achana na mke wako sasa sijui utafika kwako na kuandika taraka tu. Ni hayo tu
we jamaa hivi ulichoandika umekisoma ukakielewa au ndio unafikiria kwa kutumia ........****! Tumia bisara wenzetu wanaliwa huko lazima tuwasaidie hata kama wajinga waliwao at least tutawaambia tuliwaonyaUnafanya maamuzi kwa kutegemea coments za jf pole. Nakushauri urudi kwa mtu aliyekuambia kuhusu hiyo kampuni then muulize kuhusu kilichotokea brazil ukiweza print kabisa hizo jf coments ukamuoneshe na wewe itafute kwa google, then baada ya hapo fanya maamuzi yaliyo sahihi. Achana na jf kukuamlia. Ipo siku watakuambia achana na mke wako sasa sijui utafika kwako na kuandika taraka tu. Ni hayo tu